Habari za Mastaa

Umekisikia Kilichomtokea Mkono wa Mkunule,sikiliza You heard ya leo.

on

You-heardHii ni kutoka 92.9 Iringa ambapo Soud Brown ana-amplify taarifa za mmoja kati ya waigizaji wa Comed Tanzania,Huyu ni Mkono wa Mkonule ambaye umaarufu wake ulianza kuchukua kasi baada ya kushiriki filamu ya Johari.

Sikiliza kupitia 100.5 Clouds Fm Nachingwea.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments