Habari za Mastaa

Hiki ndicho kilichompata Pasha,sikiliza kupitia Youheard ya leo.

By

on

You-heard21

Hiki kitu kimemtokea Pasha baada ya kugonga mtu na kusemekana mtu huyo amefariki dunia,taarifa mpaka sasa inasemekana bado yuko kituo cha polisi,tumia dakika hizi 5 kumsikiliza Soud Brown kwenye You heard ya leo January 29 sikiliza kupitia 104.4 Clouds Fm Dodoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments