Habari za Mastaa

Umeipata hii ya Izzo B kumpiga msanii mchanga Iringa?

By

on

IZZOTaarifa kutoka Iringa mwishoni mwa wiki iliyopita zinasema kuwa rapa kutoka 87.8 Mbeya  Izzo B amempiga underground ambaye nae ni kutoka hukohuko Mbeya ambaye walikutana Iringa,Soudy Brown amekuja na taarifa kuhusu hii inshu.

87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments