Habari za Mastaa

Unakumbuka lile sakata la Tunda Man?sasa mwenye ile namba kapatikana.

on

2ndaaHii stori ilianzia hapa hapa millardayo.com baada ya Tunda Man kusema kuwa amepigiwa simu na namba asiyoijua na kisha baada ya kuongea nae akaanza kuhisi hali ya utofauti katika mwili wake.

Soudy Brown kaenda mbali zaidi kwa kuipiga ile namba kisha kuwapigia mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kwa ajili ya muongozo juu ya hiyo namba.

88.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Morogoro.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments