Habari za Mastaa

Unakumbuka lile gari alilozawadiwa Alawi Junior? inasemekana kanyang’anywa

on

alawiiNakumbuka ilikua March 12 kwenye usiku wa AM Records ambapo nilionana na msanii wa bongofleva Alawi Juniour ambae miongoni mwa vitu tulivyozungumza ni pamoja na yeye kuzawadiwa gari na shabiki wake.

Alawi ambae alishawahi kufanya kazi na TID akiwa na Top Band June 9 2014 ameingia kwenye headlines baada ya taarifa ya kunyang’anywa hilo gari.

87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya.

Bonyeza play kusikiliza.

Kama ulimiss interview ya alichokisema Alawi kuhusu gari hiyo unaweza kubonyeza play kutazama.

Tupia Comments