Habari za Mastaa

Kuhusu Tatoo ya Nuh Mziwanda yenye jina la Shilole iliyozua utata mtaani.

on

nuh mziwandaaKuna aina nyingi sana za mapenzi ambazo watu wanatumia kuonyesha hisia zao kali kwa wapenzi wao,lakini kwa hii imeonekana ni tofauti kwa Nuh Mziwanda ambaye Nuh kaamua kujichora tatoo yenye jina la Shilole mkononi,kila alichokisema Shilole na Nuh Mziwanda mwenyewe kipo hapa.

nuhu mziwanda

87.9 Clouds Fm inasikika ukiwa Moshi.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments