Habari za Mastaa

Sikiliza kilichomkuta tapeli aliyejifanya ndugu wa Geez Mabovu.

By

on

11000Stori za kuzushiwa kifo au magonjwa kwa mastar wa Tanzania imekua ni jambo tunalosikia mara kwa mara kupitia vyombo mbalimbali vya habari,sasa hii imemtokea jamaa aliyejifanya ni ndugu wa Geez Mabovu aliyekua akijifanya kukusanya michango kwa ajili ya tiba ya Mabovu.

3000088.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments