Habari za Mastaa

Dakika 7 za You heard ya May6 2014 on XXL

on

nashNash Mc ambaye ni Miongoni mwa wasanii wanaotokea Tamaduni Music leo  ni kuhusu kumtelekeza msichana ambaye inasemekana alikua mpenzi wake ambaye baada ya kupata ujauzito inadaiwa Nash aliukataa na kukatisha uhusiano.

87.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Kahama.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments