Habari za Mastaa

Majibu ya Nash Mc juu ya kudai kutelekeza msichana wake ambaye inasemekana ni Mjamzito.

on

You-heard218Huu ni muendelezo wa You heard ambayo ilianza jana alisikika msichana ambaye inasemekana alitelekezwa na Nash Mc baada ya kupata ujauzito,simulizi hiyo inaendelea na hapa pia utamsikiliza Nash Mc akiongelea kuhusu madai ya msichana huyo.

88.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Pwani.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments