Habari za Mastaa

You heard ya leo May 8 2014 on XXL inamuhusu Linex

By

on

Screen Shot 2014-05-08 at 10.22.08 PMHii ya leo inamuhusu msanii anaewakilisha Kigoma All stars Linex Linenga ambapo inasemekana amemdhulumu designer ambaye alikua ameprint tshirt za Kimugina ambayo ni clothing line ya Linex.

Gossip Cop Soudy Brown amemvutia waya kujua zaidi msikilize hapa chini…

Tupia Comments