Habari za Mastaa

Alichokisema Master Jay kuhusu uhusiano wake na Shaa pamoja na Mke wake wa Ndoa.

By

on

Master-JIngawa kuna fununu ambazo si rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Master Jay na Shaa,hapa kuna stori tofauti ambayo Soudy Brown anai-amplify kuhusu mke wa Master Jay kutoka na msanii wa Bongo fleva,hapa utamsikia Master Jay na msanii anayesemekana kumchukua Mke wa Master Jay.

88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments