Habari za Mastaa

Kingine kutoka kwa Wema Sepetu,sikiliza kupitia You heard ya leo Mei 13.

on

OLYMPUS DIGITAL CAMERAKuna story mpya ambayo imetoka kupitia You heard ya leo na hii inamhusu Wema Sepetu,inasemekana kuwa ameshindwa kutoa gari lake ambalo lipo Garage kwa zaidi ya wiki moja na taarifa hii ni kutoka kwa miongoni mwa watu ambao wako karibu na Garage hiyo.

Haya ndiyo mahojiano yao kati yake na Soudy Brown wa Xxl ya Clouds Fm

Wema:’Hapana gari yangu inatengenezwa inabadilishwa spare na bampa lake la mbele lilikuwa limetoka,linafanyiwa kama service kubwa.

Soudy Brown:Wanasema eti umeshindwa kwenda kuigomboa eti??

Wema:’Hamna kitu kama hiko,gari mbona ilishalipiwa mbona unaongea vitu ambavyo havipo gari haijatoka tu iko juu ya mawe kwamba matairi yametolewa ndiyo maana inatengenezwa ‘

Soudy Brown:Anhaa mimi nikajua umeshindwa kulipa kama mafundi wanavyosema

Wema:’Mh hakuna kitu kama hicho mafundi watakua wanaongea vitu vya ajabu kwa sababu gari ameenda kuilipia petii,mpigie simu petii halafu muulize usinipanikishe kwa sababu najua ninachofanya halafu naumwa halafu unavyonifanya nizidi kuongea unazidi kunizingua’

Wema:’Gari yangu imeenda leo ina siku ya 6 kwa sasa natumia gari nyingine’

89.3 Clouds Fm inasikika ukiwa Kigoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Vitu kama hivi ni halali yako visikupite… niko tayari kukutumia kwenye twitter instagram na facebook, jiunge na mimi kwa kubonyeza HAPA na >> INSTA na FB

Tupia Comments