Habari za Mastaa

U Heard ya leo inahusu stori za uhusiano wa kimapenzi wa T.I.D na Recho

on

rechoList ya mastaa walio kwenye uhusiano wa kimapenzi na mastaa wenzao inawezekana ikaongezeka baada ya kufahamika  hili la Tid na Recho kuwa wapenzi maana tumezoea kuwasikia Diamond Platnumz na Wema Sepetu, Diva na Crazy Gk au hata Nuh Mziwanda na Shilole, sikiliza alichokisema Recho na Tid kuhusu uhusiano wao.

tidManeno ya Recho baada ya kuulizwa kuhusu uhusiano wake na Tid >>’Tunaishi wapi na tid,mimi sikai Kinondoni mimi nina mtu wangu na sio huyo Tid naomba msije kunivurugia mapenzi yangu na mtu wangu’.

Haya nayo ni maneno ya Tid>>’Hivi wewe lini umeniona mimi na Recho zaidi ya kwenda studio na kuondoka hii inakuaje sasa demu wangu mpaka nimuoe mara mbili tu nimeonana nae, mahaba hayo mi siyajui hayo unayajua wewe’.

89.3 Clouds Fm inasikika ukiwa Kigoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments