Habari za Mastaa

Umeipata hii ya Matonya kunusurika kushambuliwa kisa ‘mchepuko’ ?

on

Screen Shot 2014-09-03 at 1.54.42 AMYou heard ni sehemu ya show ya XXL ya CloudsFM ambayo inahusu stori kadhaa za mastaa ambazo mara nyingi huwa ziko chinichini sana na huwa sio stori zinazoandikwa au kufikia sana vyombo vya habari ambapo hii ya leo ni kuhusu msanii Matonya aliekwenda kufanya show Turiani kunusurika kushambuliwa chanzo kikidaiwa kuwa Msichana wa mtu.
matonyaa98.6 ndio namba ya kuisikiliza CloudsFM ukiwa Musoma kunakofanyika Fiesta Ijumaa hii kwenye uwanja wa Karume.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments