Habari za Mastaa

Jipya kuhusu Young Killer kumbe alishatoa mahari kimya kimya baada ya kupewa kitisho hiki.

on

killRappa kutoka 88.1 Mwanza ambaye msimu wa Serengeti Fiesta 2012 ulifanikiwa kumuwakia na kuwa mshindi wa kwanza kwenye mashindano ya Serengeti Super Nyota Young Killer leo amehusishwa tukio la kutoa mahari kimya kimya bila kumfahamisha mtu.

Mezani kwa Soudy Brown,Young Killer ameulizwa kuhusu madai hayo ambayo inasemekana mzazi wa msichana anayetajwa kuishi nae Halimaty alimwambia Young Killer kuwa kama asipotoa mahari atampiga ‘Allah Badili’

Young Killer alipopigiwa na Soudy Brown kadai yuko kwenye ndege anajiandaa kwenda Musoma kwenye Serengeti Fiesta hivyo ametakiwa kuzima simu na kuahidi atampigia baadae simu Soudy Brown.

104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments