Habari za Mastaa

Anti Ezekiel na Kassim Mganga wahusishwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi #Gossip Cop

on

anti ezekielGazeti la Makorokocho ambalo mhariri wake ni Soudy Brown kutoka XXL ya Clouds Fm leo kwenye ukurasa wa mbele kabisa kuna stori inayomhusu Anti Ezekiel pamoja na Kassim Mganga.

Stori hii imeanzia wakati wapo pamoja Marekani kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo ambapo inasemekana walikua karibu zaidi na hata hotel kwa sasa wanalala hotel moja.

Soudy Brown amempata Kassim Mganga na kakubali kuongelea hiki kinachozungumzwa kwenye mitandao kuwa anatoka na Anti Ezekiel kwa sasa.

88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments