Habari za Mastaa

Maneno ya Mez B baada ya kusambaa kwa picha zake ambazo si nzuri.

on

Mez B1

Kutoka Chamber Squad mmoja wa wanakundi hilo anayo ya moyoni juu ya picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali inayomuonyesha akiwa na wasichana ambao sehemu kubwa ya mwili wao iko wazi.

Mez-B

Ameongea na Soudy Brown na kuelezea hali ilivyokuwa mpaka kupigwa kwa picha hizo ambazo maelezo ya Mez B ni picha ambazo alipiga mwaka jana wakati anashoot video ya wimbo wa Shemeji.

87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya.

Bonyeza play kusikiliza

Tupia Comments