Habari za Mastaa

Dakika 4 za Z-Anto akizungumzia isue yake iliyokuwa ikimsumbua.

By

on

ZantoHakuwahi kulizungumza wala kuliweka hadharani  huenda kwa sababu limekaa kifamilia zaidi ni kuhusu kilichotokea kwenye familia yao juu ya kesi kwenye  eneo lao ambalo lipo feri ya Kigamboni.

88.0 Clouds Fm inasikika  ukiwa Tabora.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments