Habari za Mastaa

Inasemekana Mr.blue kakimbia na nguo Tanga,sikiliza kupitia You heard ya leo.

on

blueHii imetoka 96.0 Tanga ambapo taarifa inasema Mr blue ‘Kabaisa’ alikuwa ana show huko siku chache zilizopita wakati anajiweka sawa kwenda kwenye show alienda kuazima nguo ambazo hakuzirudisha mpaka anaondoka Tanga.

Sikiliza kupitia 96.0 Clouds Fm Tanga.

Tupia Comments