Habari za Mastaa

Umesikia alichofanyiwa Traffic na wachezaji wa Mbeya City?kipo hapa.

By

on

mbeyaMara nyingi hutokea pale wachezaji wanapofungwa kwenye moja ya mechi zao kuumia na kuwa na hasira,hii imetokea kwa wachezaji wa timu ya Mbeya City kumfanyia kitu kisichofaa traffic wa mkoa wa Iringa na hii inasemekana ni baada ya kufungwa na Coastal Union ya Tanga.

Sikiliza kupitia 88.1 Clouds Fm Mwanza.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments