Habari za Mastaa

Nimekusogezea ngoma tatu mpya za Young Thug: First Up, Calling Your Name na Like. (Audio)

on

young thug

Msanii wa Hip Hop anaye vuma kwa sasa Young Thug jana alitangaza kusogeza mbele tarehe ya uzinduzi wa Album yake mpya Slim Season, lakini habari nzuri kwako mtu wangu ni kwamba Young Thung ameamua atusogezee masikioni mwetu ngoma tatu mpya huku tukiwa tunaendelea kusubiria album yake ikamilike.

Nyimbo zinaitwa Calling Your Name, First Up na Like. Nimekusogezea ngoma hizo hapa chini bonyeza play kuzisikiliza.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments