Habari za Mastaa

Kutoka kwenye mixtape yake ya Slime Season 2, Young Thug anaileta ‘Thief in the Night’ – (Video).

on

Wakati single mpya ya Future ‘Last Breath’ ikiendelea kuweka headlines kwenye mtandao wa Twitter, msanii mwengine wa HipHop, Marekani, Young Thug ameona asiwe nyuma sana kwenye headlines nyingine za burudani kwa siku ya leo.

THUGG2

Kutoka kwenye mixtape yake ya Slime Season 2 mixtape, Young Thug anaisogeza kwetu official music video ya ‘Theif in the Night’… Kufuatia release ya single hii itakuwa ni mixtape nyingine mpya kutoka kwa Young Thug ambapo mixtape hiyo itawashirikisha wakali wawili wa HipHop Marekani, Migos na Migo Thuggin. Tarehe ya mixtape hiyo kutangazwa very soon.

Isikupite na hii nyingine mtu wangu, mpya kutoka kwa Young Thug hapa chini kwenye video, kuinasa moja kwa moja bonyeza play hapa chini!

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

Soma na hizi

Tupia Comments