Spika wa Bunge Job Ndugai ametolea uamuzi miongozo miwili iliyoombwa na Wabunge Sixtus Mapunda (Mbinga mjini) aliyeomba mwongozo kuhusu dosari zilizopo katika wimbo wa taifa unaoimbwa Bungeni pamoja na Goodluck Mlinga (Ulanga) ambaye aliomba mwongozo wa kurekebishwa alama zilizopo katika nembo ya taifa kwa madai kwamba haziakisi mazingira ya Tanzania.
BREAKING: Mzee Majuto awajibu waliomzushia kifo ‘mimi siogopi kufa’