Habari za Mastaa

Picha 12 kutoka nyumbani kwa kaka yake YP sehemu ulipo msiba.

on

1ypAsubuhi ya October 21 Tanzania zilianza kusambaa taarifa za msiba wa aliyekuwa member wa kundi la Tmk Wanaume Family Yp ambaye baadae Meneja wa kundi hilo Said Fella alizithibitisha kwa vyombo vya habari.

Msiba upo maeneo ya Keko Magurumbasi A mahali anapoishi kaka yake Yp,millardayo.com imefika na kuongea na kaka yake huyo ili kujua taratibu za msiba huu zikoje ikiwa ni pamoja na siku ya Mazishi.

John Amulike ambaye ni kaka wa marehemu Yp amesema YP ataagwa kwenye viwanja vya TTC Club Chang’ombe kisha maziko yatafanyika kwenye makaburi ya Chang’ombe.

Yp ameacha Mke na mtoto wa kiume mmoja mwenye umri wa miaka 7.

26yp

Chegge,Said Fella&Chambuso

20yp

Juma Nature na Chegge wakiwa msibani

21yp

Juma Nature akiwa msibani

18yp

Baadhi ya waombolezaji

14yp

10yp

7yp

.

.

.

.

11yp

22yp

Chegge akiwa msibani.

Tupia Comments