Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya hapa kubwa za leo na waweza kuzipata huko.
#MWANANCHI Ripoti ya hali ya dawa za kulevya kwa mwaka 2015 imeeleza kuwa bangi ndiyo inayoongoza Tanzania pic.twitter.com/lBqDhLMkQE
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#MWANANCHI NACTE imefuta leseni za vyuo vya ufundi 26 kutokana na makosa mbalimbali, ikiwamo kutoa mafunzo ambayo hayajathibitishwa pic.twitter.com/nQsQRuit3T
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#MTANZANIA Kiwanda feki cha kutengeneza konyagi na bidhaa zake kimegundulika DSM baada ya Naibu Waziri Kigwangalla kuvamia kiwanda hicho pic.twitter.com/c6zpYn0jcN
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#MTANZANIA Serikali imeombwa kuchukua hatua za haraka kuwateketeza panzi wenye sumu kali walioibuka ktk misitu ya wilaya ya Gairo pic.twitter.com/HkgHKYD1d7
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#NIPASHE Askari polisi Tanga, Michael Komba atuhumiwa kumpiga askari mwenzake hadi kumsababishia kifo, yadaiwa chanzo ni wivu wa mapenzi pic.twitter.com/Z3pbwNLwGy
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#NIPASHE Utafiti uliofanyika Z'bar mwaka 2011 umebaini kuwa 3.7% ya wazanzibari wenye umri kati ya miaka 25 hadi 64 wana ugonjwa wa kisukari pic.twitter.com/xF2IH7iLzu
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#NIPASHE Utitiri wa vyuo vya uuguzi umeizindua serikali na kuanza uchunguzi ili kubaini vile visivyo na sifa, hatimaye kuvifunga pic.twitter.com/ZuMSF60pPk
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#HabariLEO Bodi ya mikopo elimu ya juu imebaini kuwepo kwa baadhi ya wanafunzi ambao wamewasilisha vyeti feki vya vifo vya wazazi wao pic.twitter.com/hJjai4kIeM
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#HabariLEO Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameiomba Wizara ya afya kuanzisha kampeni ya kutokomeza ugonjwa wa tezi dume pic.twitter.com/sObtHLE98d
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#HabariLEO Rais Shein asaini muswada wa mafuta, gesi ambao sasa utaipa ruhusa Z'bar kisheria kutafuta nishati hiyo kwa maslahi ya Z'bar pic.twitter.com/LLU5NVDOd8
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#TanzaniaDAIMA Panya buku amebainika kuwa ana uwezo wa kugundua wagonjwa wenye TB walioshindwa kutambulika kwa vipimo vya kisasa pic.twitter.com/W4Lu8ZsTnA
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#MWANANCHI Lowassa asema kutoonekana kwake misiba ya Mungai, Sitta, ni kutokana na kuwa safarini A.Kusini kumuangalia mdogo wake anayeumwa pic.twitter.com/vcZBuQi5is
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#TanzaniaDAIMA Wakati waathirika wa tetemeko Kagera wakiendelea na kilio chao cha kutelekezwa, imebainika bil 104 zinahitajika kuwasaidia pic.twitter.com/jrb8gH9BaO
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#TanzaniaDAIMA Serikali imetenga bilioni 7 kukabiliana na magonjwa ya saratani kutokana na gharama za matibabu kuwa ghali pic.twitter.com/rMd3mj2ae3
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#MWANANCHI Hofu imetanda baada ya ugonjwa wa kimeta kuua wanyama wa porini na wa kufugwa zaidi ya 150 Monduli Arusha pic.twitter.com/ywjC1ZN7UG
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
#MTANZANIA Serikali imeshauriwa kulegeza sheria za utoaji mimba kutokana na idadi kubwa ya vifo vya wasichana wanaotoa mimba uchochoroni pic.twitter.com/Uj0GVGJSkA
— millardayo (@millardayo) November 16, 2016
AyoTVMAGAZETI: Panga la NACTE latua vyuo 26, Polisi adaiwa kumuua mwenzake