Mix

PICHA 20: Profesa Jay baada ya ndoa Kanisani, hizi ni kabla ya kuingia ukumbini

on

Rapper na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ leo July 8, 2017 amefunga ndoa na mpenzi wake Grace DSM ambapo watu mbalimbali wakiwemo Wabunge walialikwa na baada ya ndoa walikaa kwa ajili ya picha za kumbukumbu.

Nimekuwekea hapa picha 20 kutoka kwenye tukio hilo!!

Soma na hizi

Tupia Comments