Ad
Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli mawili yaliofungwa na Simba vs Kagera Sugar October 15 2016

on

October 15 2016 uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Simba waliikaribisha Kagera Sugar ya Bukoba kucheza mchezo wao wa tisa wa Ligi Kuu Tanzania bara, katika mchezo huo Simba walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Mzamiru Yasini dakika ya 43 na Shiza Kichuya dakika ya 75.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments