Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA: Real Madrid walivyoandaa zaidi ya Tsh bilioni 950 kwa ajili ya uwanja wao
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > PICHA: Real Madrid walivyoandaa zaidi ya Tsh bilioni 950 kwa ajili ya uwanja wao
Sports

PICHA: Real Madrid walivyoandaa zaidi ya Tsh bilioni 950 kwa ajili ya uwanja wao

October 12, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Klabu ya Real Madrid ya Hispania imeripotiwa na mtandao wa dailymail.co.uk kuwa katika mpango wa kuukarabati uwanja wao wa Santiago Bernabeu ili kuwa wa kisasa zaidi, Real Madrid wamepanga kukarabati uwanja wao huo ambao kwa mwaka unaripotiwa kupokea zaidi ya watu milioni 4.

394dfc2300000578-0-image-a-3_1476192646827

Rais wa Real Madrid Florentino Perez na meya wa jiji la Madrid Manuela Carmena wameweka hadharani project hiyo sambamba na michoro ya uwanja huo utakavyokuwa, mradi huo ambao utakamilika katika kipindi cha miaka mitatu unatajwa kuwa moja kati ya kivutio cha mji wa Madrid hususani nyakati za usiku kwa aina za taa zitakazowekwa.

394de41100000578-0-image-a-2_1476192643518

Perez amesema ukarabati wa uwanja huo hautahusisha ongezeko la watu wanaoingia uwanjani, bali idadi ya watu wataendelea kuwa 81000 kama kawaida, isipokuwa viti 3000 vitabadilishwa katika uwanja huo, ukarabati huo utagharimu zaidi ya pound milioni 360 ambazo ni zaidi ya bilioni 950 za kitanzania.

08f25403000005dc-3832636-image-a-19_1476193732617
Muonekano wake wa sasa

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

You Might Also Like

Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’

Simba SC waingia Mkataba na MobiAd

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA October 12, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Burundi imeamua kusitisha ushirikiano wake na UN kuhusu Haki za Binadamu
Next Article VideoMPYA: Matonya katuletea hii video yake ‘Sugua benchi’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?