Mix

Video: RC Makonda alivyomtembelea Pascal wa BSS Muhimbili DSM

on

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda leo amemtembelea Mshindi wa BSS 2009 Pascal Cassian Hospitali ya Taifa Muhimbili na kupewa maelezo ya vipimo vya Mgonjwa huyo.

“Madaktari wamepata matumaini kwamba Mgonjwa wetu anaweza kutibiwa na kwa kiwango kinachostahili Mungu ikimpendeza anaweza kupona na kurudi”– RC Paul Makonda

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video ujionee RC Makonda alivyomtembelea Pascal Cassian

Soma na hizi

Tupia Comments