AyoTV

AUDIO: Mtanzania anayecheza Ujerumani ameeleza ubaguzi ulivyotaka kumkatisha tamaa

on

Kutoka Ujerumani katika mji wa Heilbrom millardayo.com imempata mtanzania Emily Mgeta anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Freund Spiel Lauffen inayoshiriki Ligi daraja la tano nchini Ujerumani, Emily leo ameeleza kuwa ubaguzi ulitaka kumkatisha tamaa na kufikiria kurudi Tanzania.

“Kuna siku kuna kitu kilinitokea nikatamani ni bora hata nirudi nikacheze nyumbani Tanzania, tulikuwa katika chumba cha kubadilishia nguo tukiwa tunaelekea mazoezini nilishangaa watu tuliokuwa wamekaa upande nimekaa mimi wakahama kabisa, rafiki akaniambia hao wanachuki na wageni wanaona kama unawaharibia mipango yao”

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments