Mix

Ni kweli Young Dee na Young Killeer walipigana studio? (+Video)

on

Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa ambazo zinaendelea kuchukua nafasi katika mitandao mbalimbali zikidai kuwa mastaa wawili wa Bongofleva Young Dee na Young Killer walipigana wakiwa studio kwa Mr. T Touch.

New story leo July 8, 2017 ni kwamba Ayo TV na millardayo.com zimempata Mr. T Touch ambaye anaelezea zaidi:>>>”Young Dee na Young Killer wote ni wasanii nafanya nao kazi na taarifa zinazoendelea kuenea kwamba walipigana studio nimeziona mitandaoni na ningependa kusema sio kweli ni uongo tu. Hizo ni stori labda mashabiki wanapenda kuzitengeneza nje ya muziki.” – Mr T Touch.

Star wa Bongomovie alalamika kuibiwa jina na Chege!!!

Soma na hizi

Tupia Comments