Mix

Naambiwa hizi ndio faida za binadamu kulia (kutoa machozi)

on

Kutokana na uchunguzi uliyofanywa na wanasayansi inaonyesha kuwa asilimia 85 ya wanawake na asimilia 75  ya wanaume hujusikia amani baada ya kulia na inaaminika kuwa binadamu wa kawaida hulia dakika zisizopungua sita, wanawake wanatajwa kuwa wanalia mara 47 kwa mwaka na wanaume ni mara saba kwa mwaka.

Umuhimu wa kulia katika  maisha ya binadamu husaidia kumpunguzia msongo wa mawazo na kujikuta kuwa na amani baada ya kulia, hata kama alikuwa ametawaliwa na msongo wa mawazo kwa muda pia husaidia kupunguza  matatizo ya shinikizo la damu.

Pamoja na hayo kwa utafiti uliyofanywa na tovuti ya www.agingcare.com  unaeleza kuwa faida nyingine ya binadamu kulia husaidia kufanya mapigo ya moyo kufanya kazi vizuri na kutoa sumu mwilini, Wanasayansi huamini machozi mengi hutoka kuanzia saa moja jioni mpaka saa nne usiku.

 

Muigizaji mwingine mkubwa Holly Wood atakayecheza Movie moja na Idriss Sultan

Soma na hizi

Tupia Comments