Video Mpya

VideoMPYA: Kala Jeremiah ameileta kwako ‘Nisamehe’ akiwa na Aslay

By

on

Mwimbaji wa Hip Hop Kala Jeremiah amemshirikisha Aslay kwenye ngoma mpya inaitwa ‘Nisamehe’ unaambiwa ngoma hii ni kwa ajili ya wanaume wanaowanyanyasa wanawake , fanya kubonyeza PLAY hapa chini kutazama. 

VIDEO: CHRISTIAN BELLA AMTETEA HAMISA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

Soma na hizi

Tupia Comments