Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Halima Mdee kasimama tena Bungeni, katumia dakika 10 leo (+ nukuu na video)
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Halima Mdee kasimama tena Bungeni, katumia dakika 10 leo (+ nukuu na video)
AyoTV

Halima Mdee kasimama tena Bungeni, katumia dakika 10 leo (+ nukuu na video)

June 10, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Mbunge wa Kawe Halima Mdee (CHADEMA) ni miongoni mwa Wabunge waliosimama leo Bungeni Dodoma na kutoa michango yao kuhusu Wizara ya Kilimo, mifugo na uvuvi.

Moja ya nukuu nilizozinasa kutoka kwake >>> ‘Nasikitika na ninawashauri tu Wabunge wapya na vijana, jukumu letu sisi ni kuisaidia Serikali na nchi… anasimama Mbunge anatoa pongezi kwa wizara ya kilimo kwa sababu ya hoja moja ya tozo‘

‘Jana Waziri katika hotuba yake anatumia robo tatu ya muda kusema tozo mbalimbali alizozikata badala ya kutuambia pamoja na hiyo tozo kukata, tuna mikakati gani mipana ya kusaidia asilimia 75 ya Watanzania?’

‘Hivi tungewekeza kwenye kilimo ipasavyo kama ambavyo mipango ya miaka mitanomitano kwa miaka zaidi ya 30 iliyopita, kama ambavyo ILANI ya CCM imekua ikisema kwa miaka zaidi ya 30 iliyopita….. ajenda isingekua tozo, tungeongeza kodi Serikali ingepata mapato sababu tuliwekeza vizuri’

‘Mimi natoka Jimbo la mjini, asilimia 85 mnatoka majimbo ya Vijijini…. mimi kwangu naathirika kwasababu tu ya mfumuko wa bei kwahiyo lazima nizungumze hapa sababu mwaka jana mfumuko wa bei ulikua 5.4 sasa hivi ni 6.4 kwa mujibu wa ripoti ya BOT iliyotoka juzi… sababu mahindi, sukari, mihogo imepanda bei‘

UNAWEZA KUMTAZAMA HALIMA MDEE KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

ULIPITWA? Hii hapa chini ina mambo manne ya Zitto Kabwe bungeni May 17, play hapa chini kufahamu kila kitu

You Might Also Like

Rais Samia afika kwenye kaburi la hayati Magufuli huko Chato

Nick Minaj akataa kuchanjwa chanjo Covid-19, asema “Mtu kawa mgumba”

Msemaji Mkuu wa Serikali afunguka “Tumeongeza marubani watanzania 100”

Picha:Uongozi wa Simba wamzawadia gari Musa Mgosi

Watumishi 9 wasimamishwa kazi (JNIA)

TAGGED: Ayo TV, AyoTV
Rama Mwelondo TZA June 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA 2: Basi la timu ya Ruvu Shooting limepata ajali
Next Article Barua ya Simba iliyoenda FIFA kuhusu TFF
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
Mix August 18, 2022

You Might also Like

Mix

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 17, 2022

August 17, 2022
Mix

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

August 13, 2022
MixTop Stories

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

August 11, 2022
Mix

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

August 9, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?