AyoTV

VIDEO: Yusuph Manji alivyorudishwa ndani Polisi wakati akitoka

on

Leo February 9 2017 Mfanyabiashara Yusuph Manji amefika kituo cha polisi kati kama alivyoahidi jana baada ya kutajwa kwenye orodha ya watu 65 na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Leo Yusuph Manji alifika asubuhi kwenye kituo cha Polisi cha kati ambapo baadae alionekana akiwa anatoka kuondoka lakini ghafla akazuiwa na Polisi na kumwambia anahitajika ndani tena, tazama kwenye hii video.

Ulikosa? Alichokizungumza Yusuph Manji baada ya kutajwa na RC Makonda katika tuhuma za dawa za kulevya, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments