Video Mpya

VideoMPYA: Beka Flavour anakualika kuipokea “Kibenten”

on

Tukielekea kwenye msimu wa Valentine msanii wa Bongo Fleva Beka Flavour anakuletea hii video mpya ya kuitazama “Kibenten”. Usisahau kuweka comments yako baada ya kuitazama

Msanii wa Uganda ‘Nilimlipa Saida Pesa akakataa, nilimpigia magoti kwa heshima

Soma na hizi

Tupia Comments