Habari za Mastaa

Davido kwenye jukwaa moja na Cardi B, Meek Mill ndani ya tamasha la Summer Jam

on

Inaripotiwa kuwa mwimbaji kutokea Nigeria Davido anazidi kukubalika nchini Marekani na hii ni baada ya kutajwa ku-perform siku ya June 02, 2019 na atatumbuiza kwenye tamasha kubwa la Summer Jam la kituo cha redio cha Hot 97  nchini Marekani katika uwanja wa Metlife Stadium.

Davido ametajwa kutumbuiza kwenye jukwaa moja pamoja na mkali wa Hip Hop Rapper Cardi B, Meek Mill, Migos, Casanova na wakali wengine wa kwenye muziki huo wa Hip Hop nchini Marekani. Fahamu pia hivi karibuni Davido alitangazwa kutumbuiza kwenye tamasha la J. Cole ‘DreamVille Festival’

VIDEO: MAPENZI YA MENGI NA JACQULINE ETI! VIJANA MNAFELI WAPI / PIERRE GUMZO MTANDAONI

Soma na hizi

Tupia Comments