Michikichi ni zao mojawapo ya mazao ya biashara linalotengeneza mafuta na hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Kigoma, Mbeya na Tanga hapa nchini Tanzania.
Zao la mchikichi limekuwa mkombozi kwa wakulima wengi wa Mkoa wa Kigoma kwani hutumia kwa chakula, biashara, mafuta ya mise hutumika katika mapishi ya vyakula mbalimbali.
Leo AyoTV imetembelea katika kijiji cha Mkongolo kujionea namna wanavyotengeneza mafuta hayo pamoja na hatua zake kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
MWILI WA MWANZILISHI WA TUKUYU STARS WAAGWA NA KUCHOMWA MOTO
https://youtu.be/sjALbcc1uLc