AyoTV

EXCLUSIVE: Yvonne Chakachaka alivyomuongelea Alikiba (+VIDEO)

on

Mwimbaji hodari wa siku nyini Afrika, Yvonne Chakachaka ameingia studio Johannesburg South Africa kurekodi kolabo na mwimbaji wa Tanzania Alikiba…… AyoTV na millardayo.com zipo na Alikiba South Africa kila anapoweka mguu na sasa imempata Chakachaka kwenye Exclusive…. mtazame hapa chini

FULL VIDEO: Tazama show ya Alikiba aliyoifanya Durban South Africa wiki iliyopita, bonyeza play hapa chini….

VIDEO: “Nimepata amani ya moyo sababu sipendi malalamiko” – Alikiba mtazame akiongea mwenyewe hapa chini

EXCLUSIVE: Polisi yaongea kwanini Diamond hakufikishwa Mahakamani kama wale wa Singida, bonyeza play hapa chini kutazama kila kitu

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments