Top Stories

PICHA 11: Kutoka Arusha kwenye Semina ya Fursa leo Sept 9, 2017

on

Leo September 9, 2017 Arusha ilipata nafasi ya kutembelewa na semina ya Fursa baada ya kuzinduliwa Morogoro ambapo mambo mbalimbali yamejadiliwa kuhusiana na ujasiliamali, uchumi na ajira huku wakazi wa Arusha wakijitokeza kwenye semina hiyo.

Baadhi ya viongozi na watu maarufu waliokuwepo kwenye semina hiyo ni Naibu Wazir wa Ajira Anton Mavunde, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na Nikki wa Pili.

Hizi ni picha 11 kutoka kwenye tukio hilo lililofanyika hapa Arusha..

FURSA 2017: “Hakuna wa kukuletea chakula, lazima ukitafute” – Ruge Mutahaba

Soma na hizi

Tupia Comments