Top Stories

MWANZA: Akamatwa akijifanya mtumishi wa Jiji na kukusanya ushuru

on

Halmashauri ya Jiji la Mwanza imeanza rasmi kukusanya Mapato yake ya Ushuru wa Jiji ili kubaini Matapeli wanaokusanya Ushuru kwa utapeli bila Stakabadhi kwa kujifanya ni Watumishi wa Jiji.

Kwa mujibu wa Mwakilishi wa Mkurugenzi Jilji la Mwanza Kessy Mpakata msako umeanza kwenye sehemu za biashara, ada za usafi, vyoo vya halmashauri na kwingineko ili mapato yakusanywe na wananchi wahudumiwe kiufanisi.

Ulipitwa na hii? Jeshi polisi DSM wametoa siku 3 kwa Sheikh Ponda kujisalimisha

Soma na hizi

Tupia Comments