AyoTV

VIDEO: Zitto Kabwe pembeni ya Mbowe, aongelea Mbowe kutajwa na Paul Makonda

on

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alikua pembeni ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe leo February 10 2017 Dodoma akiongelea kwa mara ya kwanza kuhusu kutajwa kwenye orodha ya watu 65 sakata la dawa za kulevya na akapewa nafasi ya kuongea pia…. tazama kwenye hii video hapa chini

FULL VIDEO: Tazama alichosema Freeman Mbowe akiongea kwa mara ya kwanza baada ya kutajwa kwenye sakata la dawa za kulevya

Ili usipitwe na Breaking NEWS zote za Tanzania na nje ya Tanzania, matukio ya habari za mastaa, michezo na mengine, usiache kujiunga na Millard Ayo kwa ku-subscribe Youtube jina la “millardayo” pia Install APP ya “millardayo” kwenye Android na IOS, Facebook, Twitter na Instagram @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments