Ishu kubwa Tanzania leo June 19 2017 ni kufikishwa Mahakamani kwa James Rugemalila na Harbinder Sethi ikiwa ni baada ya TAKUKURU kutangaza kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wawili wa kesi za ESCROW na IPTL.
Wawili hao James Rugemarila na Harbinder Sethi wamefikishwa leo kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kwa makosa ya uhujumu uchumi ambapo baada ya hatua hiyo ya TAKUKURU, Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ni miongoni mwa waliotoa maoni yao kama yanavyosomeka hapa chini.
ULIPITWA? Video ya TAKUKURU wakitangaza kuwafikisha Mahakamani Rugemalila na Sethi ndio hii hapa chini