Top Stories

Zitto Kabwe Bungeni leo kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar

on

April 17, 2018 Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alisimama Bungeni Dodoma kuchangia mapendekezo yake katika hotuba ya Waziri wa nchi, ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) January Makamba ambapo alihoji sababu za bidhaa za biashara kati ya Tanzania bara na Zanzibar kuwa na vikwazo za mara kwa mara bila kutafutiwa ufumbuzi.

MABISHANO MAHAKAMANI MBOWE NA POLISI (April 17 2018)

Soma na hizi

Tupia Comments