Top Stories

Zahera afunguka “Nimetoa zaidi ya Milioni 100 Yanga sitowadai, Wachezaji pia wamenikopa” (=video)

on

Kocha Mwinyi Zahera katika mahojiano na Clouds FM katika kipindi cha SporsXtra amenukuliwa akisema “Pesa ambazo nilikuwa nazitoa Yanga nilikuwa nafanya hivyo kwa kusaidia hakuna siku nimetoa pesa nikadai wanirudishie. Tangu nimefika Yanga nimesaidia pesa ambayo inaweza kufika hata dola ($) 50,000 (zaidi ya Tsh. milioni 100). Kuna wakati wachezaji walikuwa wananifata wanaomba niwaazime pesa halafu watanirudishia wakilipwa mishahara yao.”

RC ALIECHAPA VIBOKO “SI MJAMZITO, SI BUBU, SI KIZIWI NITAWAPA DISPLINE, NITAKAMATA WOTE”

Soma na hizi

Tupia Comments