Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Zamalek wafungiwa kufanya usajili na FIFA
Share
Notification Show More
Latest News
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
September 27, 2023
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Zamalek wafungiwa kufanya usajili na FIFA
Sports

Zamalek wafungiwa kufanya usajili na FIFA

July 11, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limeiandikia barua chama cha soka Misri (EFA) na kueleza kuwa wameifungia club ya Zamalek kufanya usajili hadi wailipe Sporting CP hela zao za usajili za mchezaji Mahmoud Shikabala.

Shikabala alijiunga na Sporting 2014 akitokea Zamalek kwa euro 190,000 (Tsh milioni 510) na aliondoka 2015 kurejea Zamalek kwa euro 570,000 (Tsh Bilioni 1.5) baada ya kucheza mechi moja tu katika miezi 18 aliyokaa Sporting.

Inaaminika sasa deni la Sporting kwa Zamalek kwa sasa linafikia USD milioni 1.5 (Tsh Bilioni 3.6), hata hivyo hii sio mara ya kwanza kwa Zamalek kufungiwa kufanya usajili kwani waliwahi kufungiwa madirisha mawili msimu wa 2021/22 kutokana na kuwa na kesi na mchezaji Hossam Ashraf na Kocha wao wa zaman Christian Gross.

Tazama pia;

SIRI NZITO YA CR 7 NA MAMA YAKE MZAZI, MAISHA MAGUMU YA KUSISIMUA “MIMBA YAKE KUTOLEWA”.

You Might Also Like

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

Osimhen afuta picha zote za Napoli kwenye Instagram yake

Barcelona wanataka kumsajili Ndidi mwaka 2024

Chelsea wanafuatilia kwa karibu mzozo kati ya Victor Osimhen na Napoli

Thomas Frank amejibu maswali kuhusu hatma ya Ivan Toney huko Brentford…

TAGGED: Sports
Rama Mwelondo TZA July 11, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mgonjwa na mpenzi wake wapigana kiss wodini MOI, hospitali yalaani ‘Alierekodi kakosea’
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 11, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
Top Stories September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
Top Stories September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
Sports September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Sports

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

September 27, 2023
Top Stories

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?