Habari za Mastaa

Zamaradi kaongea Mume wake kutoa bastola hadharani “Ni bwege tu, tatizo ni langu”

on

Zimepita siku kadhaa toka mtanzania Shaban Hamisi ambaye ni mume wa mtangazaji Zamaradi Mketema afikishwe Mahakamani akikabiliwa na kosa la kumtishia silaha (bastola), Dereva wa lori la mchanga Venance John na video ya tukio hilo kusambaa mitandaoni.

Sasa AyoTV na milardayo.com zimempata Zamaradi ambaye amehojiwa kuhusu hilo na haya hapa ndiyo majibu yake. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

Soma na hizi

Tupia Comments