Habari za Mastaa

Z Anto kurudi kwenye bongo fleva? kamtaja atakayesimamia kazi zake…..

on

Headlines za Bongo Fleva leo Dec 11 zinakwenda kwa mkali ambaye alishawahi kumiliki hit single ya ‘Binti Kiziwi’.

Msanii huyo akiongea exclusive interview na ripota wa millardayo.com alisema kuwa ana mikakati ya kurudi kwenye game na kuanza kufanya kazi chini ya meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale.

Suala la mimi kurudi Tip Top Connection ni jambo ambalo linauwezekano kwasababau sisi ni wafanyabiashara na mpaka hapo nilishawahi kuzungumza na Babu Tale kuhusu usimamizi wa kazi zangu kwa hiyo naamini ni jambo ambalo ninaamini inawezekana kwasababu sina chuki cha kiasi hicho‘ >>> Z Anto

Sina beef la aina yoyote au kwasababu mara ya kwanza nilijitoa kutokana na hitilafu hapana, nina uwezo wa kufanya nao kazi Tip Top Connection na pia.. Babu Tale ni moja kati ya watu wanaotarajia kusimamia kazi zangu msimu ujao kuhakikisha kile ninachokifanya kinaenda katika njia sahihi’>>> A Anto

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments