Habari za Mastaa

Kwa unaependa muziki wa Jamaica, tazama video zao 10 kali hapa.

on

Aidonia-Bruki1Hii Top 10 ya video za Jamaica leo inatoka Trace TV, kituo cha Ufaransa ambacho kinajihusisha na burudani kwa asilimia 100 ambapo kinacheza video za Afrika, Marekani na mataifa mengine kadhaa duniani.

Namba 10 ni Aidonia – Bruki Bruki

Namba 9 ni Chronixx- Here Comes Trouble

Namba 8 ni I-Octane – love like i do

Namba 7 ni Teflon – Love & Adore You

Namba 6 ni Gyptian ft. Angela Hunte – vixen

Namba 5 ni D-Medz ft Rural – Road Tonight

Namba 4 ni Shaggy ft Neyo – You Girl

Namba 3 ni Rutine – Drive Me Crazy

Namba 2 ni I-Octane – Wine And Jiggle

Namba 1 Samantha J – Tight Skirt

Tupia Comments