AyoTV

VIDEO: “Mikataba ya Serikali imepoteza maisha ya wananchi” – Peneza

on

Mbunge wa Viti Maalum Upendo Peneza ‘CHADEMA’ ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma leo June 16, 2017 na kuchangia Mapendekezo yake katika Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo amelieleza Bunge kuwa kitendo cha Serikali kupitisha mikataba ya Madini kimesababisha baadhi ya wananchi kuuawa na Askari kwa lengo la kulinda wawekezaji wa nje.

VIDEO: Waziri Makamba kuhusu mikoa iliyoathiriwa na ukame 

Soma na hizi

Tupia Comments